Simba yatamba kupata point 3 mbele ya Al Ahly

Simba yatamba kupata point 3 mbele ya Al Ahly

0

Simba yatamba kupata point 3 mbele ya Al Ahly

Kesho kutakuwa na mchezo kati Simba na Al Ahly kutoka Nchini Misri mechi ya Klabu bingwa barani Afrika itakayochezwa katika dimba Kubwa zaidi nchini Tanzania uwanja wa Taifa Jijini Dar Es Salaam.

Kuelekea mchezo huo nahodha wa timu ya Simba Mohammed Hussein Zimbwe ‘Tshabalala” ametamba kupata points 3 muhimu katika mchezo huo wa kesho huku akiamini kutumia vyema faida ya kucheza nyumbani.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY