Timu yapigwa 8 kwa 0 Makundi CAF

Timu yapigwa 8 kwa 0 Makundi CAF

0

Timu yapigwa 8 kwa 0 Makundi CAF

Timu ya TP Mazembe imeianushia kipigo kizito timu ya Club Africaine ya Tunisia kwa kuichapa bao 8 kwa 0 wakicheza huko Lubumbashi nyumbani kwa TP Mazembe.

Magoli ya wababe hao msomaji wa Kwataunit.co.ke yalifungwa na Muleka mabao mawili, Tresor Mputu mabao mawili huku magoli mengine manne yakifungwa na Kelvin Mundeko naye akitinga kimyani mara mbili Mike Miche na Meschak Elia wakifunga moja moja.

Kwa matokeo hauyo Mazembe anashika nafasi ya pili kwa kuwa na points 3 huku CS Constantine wakiongoza kundi wakiwa na points 6 na club African wakiwa na points 0 katika nafasi ya mwisho.

Install App bora ya Michezo Tanzania

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY