Viingilio mechi ya Simba vs Al Ahly

Viingilio mechi ya Simba vs Al Ahly

0

Viingilio mechi ya Simba vs Al Ahly

Kikosi cha Simba Jumanne 12 February kitashuka Dimbani kucheza dhidi ya Al Ahly ya Nchini Misri katika mchezo wa hatua ya Makundi klabu Bingwa barani Afrika.

Kuelekea mchezo huo Simba imetangaza viingilio vya mchezo huo utakaochezwa uwanja wa Taifa kuanzia majira ya saa kumi kamili alasiri.

Viingilio msomaji wa kwataunit.co.ke vitakuwa ni shilingi 2000 mzunguko, 15, 000 VIP A na shilingi 10,000 VIP B.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY