Wachezaji wanaoongoza kwa Magoli mwezi February TPL

Wachezaji wanaoongoza kwa Magoli mwezi February TPL

0

Wachezaji wanaoongoza kwa Magoli mwezi February TPL

Wakati ligi kuu ikiendelea kushika kasi hawa ndiyo wachezaji wanaoongoza kwa magoli kwa mwezi Huu February 2019.

Wachezaji hao ni wale wenye mabao mawili na wengine wengi wakiwa wamefunga bao moja moja.

Dickson Ambundo – Alliance – 2

Ahmed Shiboli – JKT Tanzania – 2

Salum Kimenya – Tanzania Prisons – 2

Six Mwasekaga – Stand United – 2

Ally Bilal – JKT Tanzania – 2

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY