Walichokisema Simba kuhusu Etienne wa KMC kutua Simba

Walichokisema Simba kuhusu Etienne wa KMC kutua Simba

0

Walichokisema Simba kuhusu Etienne wa KMC kutua Simba

Jana zilizuka Taarifa kuhusiana na Simba kuhusishwa kuwa katika mipango ya kumdaka kocha wa KMC Ettiene Ndayiragije kuwa msaidizi wa Kocha Mkuu Patrick Aussems

Baada ya taarifa hizo kuzagaa klabu ya Simba nao wametoa Tamko kuhusiana na tetesi hizo za Ettiene kutua Simba kumrithi Masoud Djuma.

Install Michezo Plus App

Mwenyekiti wa klabu ya Simba Sued Nkwambi amefunguka kuwa kweli kuna mpango wa kutafuta kocha msaidizi ila kuhusu Ettiene hawezi kuzungumza kwasasa.

” Mpango huo upo na hivi karibuni tutatangaza ila hilo la Ettiene Ndayiragije naomba tuliache kwanza utakapofika muda tutatangaza kuwa nani atakuwa kocha msaidizi ” alisema Nkwabi

App kwaajili ya Wakubwa 18 + Wakubwa Wanafaidi

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY