Walichokisema Simba kuhusu Kitambi kumrithi Masoud Djuma

Walichokisema Simba kuhusu Kitambi kumrithi Masoud Djuma

0

Kumekuwa na story nyingi juu ya nani atakayemrithi kocha Masoud Djuma kama kocha Msaidizi wa kikosi cha Simba ili kumsaidia kazi kocha Patrick Aussems raia wa Ubelgiji.

Lakini moja kati ya majina yaliyotajwa kuhusishwa kutua Simba Ni kocha Denis Kitambi ambaye aliwahi kuifundisha timu ya Ndanda Fc kutoka Mtwara na kisha kutimkia nchini Kenya kuifundisha AFC Leopards.

Klabu ya Simba kupitia kwa afisa habari wake Haji Manara wamegoma kuzungumzia suala la Kitambi wakisisitiza kuwa akili yao kwasasa ipo katika mechi ya Klabu bingwa dhidi ya Al Ahly Jumanne hivyo nguvu na akili vimeelekezwa huko.

Install Michezo Plus App

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY