Yanga : Huku ndipo ilipowekwa kambi kujiandaa na Simba

Yanga : Huku ndipo ilipowekwa kambi kujiandaa na Simba

0

Yanga : Huku ndipo ilipowekwa kambi kujiandaa na Simba

Homa ya pambano kati ya Yanga na Simba tayari imeshaanza kupanda kwa baadhi yawatu ikiwa ni siku chache tu zimesalia kuelekea pambano hilo ambalo huwa ni moja ya pambano ambalo hufatiliwa na watu wengi sana ndani na nje ya Nchi ya Tanzania.

Wakubwa Wanafaidi – Install App Ujionee

Pambano hili msomaji wa kwataunit.co.ke huvuta hisia za washabiki wengi wa soka maana nchi ya Tanzania hupasuka vipande viwili washabiki wa Yanga na Simba.

Wachezaji wanaoongoza kwa Magoli mwezi February TPL

Kuelekea pambano huili timu hizi zimekuwa na utaratibu wa kutoka nje ya mji ili kuweka kambi ya muda mfupi kabla ya pambano huku safari hii Yanga wakiamua kwa mara nyingine kuweka kambi yao mkoani Morogoro mara baada ya kumaliza mchezo wao wa ligi dhidi ya JKT Tanzania mkoani Tanga.

Install Michezo Plus App

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY