Yanga: Kikosi cha Wachezaji 20 watakaokwenda Mwanza dhidi ya Mbao

Yanga: Kikosi cha Wachezaji 20 watakaokwenda Mwanza dhidi ya Mbao

0

Kikosi cha Wachezaji 20 Kitakachosafiri kuifuata Mbao Fc jijini Mwanza

Yanga baada ya kumaliza mchezo wao dhidi ya Simba Jumamosi 16 February 2019 sasa wanakibarua cha Kucheza na Mbao Fc katika uwanja wa CCM Kirumba 20 February 2019.

Hawa ndiyo wachezaji 20 watakaosafiri na Kikosi cha Yanga kuifuta Mbao Fc.

Ramadhani Kabwili, Paul Godfrey, Haji Mwinyi, Andrew Vicent, Kelvin Yondan, Abdallah Shaibu, Mohamed Issa, Papy Tshishimbi, Heritier Makambo, Amissi Tambwe, Ibrahim Ajib, Klaus Kindoki, Juma Abdul, Haruna Moshi, Mrisho Ngasa, Matheo Antony, Deus Kaseke, Raphael Daud, Jaffar Mohammed na Said Makapu.

Install App bora ya Michezo – Michezo Plus App

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY