Yanga : Matokeo Mechi 5 za Mwisho kabla ya Kukutana na Simba

Yanga : Matokeo Mechi 5 za Mwisho kabla ya Kukutana na Simba

0

Yanga :Matokeo Mechi 5 za Mwisho kabla ya Kukutana na Simba

Kikosi cha Yanga kitakuwa na kibarua cha kuikaribisha Simba katika mchezo wa ligi kuu soka ya Tanzania bara TPL 16 February 2019 katika uwanja mkubwa wa Taifa jijini Dar Es Salaam.

Install App bora ya Michezo – Michezo Plus App

Kuelekea pambano hilo hizi ndizo mechi 5 za Mwisho za Yanga ligi kuu kabla haijakutana na Simba

App kwaajili ya Wakubwa 18 + Wakubwa Wanafaidi

JKT Tanzania 0 – 1 Yanga

Singida United 0 – 0 Yanga

Coastal Union 1 – 1 Yanga

Stand United 1 – 0 Yanga

Yanga 3 – 1 Mwadui

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY