Yanga wathibitisha huyu wa kikosi cha 1 Kukosekana Jumamosi

Yanga wathibitisha huyu wa kikosi cha 1 Kukosekana Jumamosi

0

Yanga wathibitisha huyu wakikosi cha 1 Kukosekana Jumamosi

Yanga iko mkoani Morogoro ikijiandaa na mchezo kati yake na Simba mchezo wa ligi kuu soka Tanzania Bara TPL , Yanga ikiamua kuweka Kambi Morogoro kabla ya mechi hiyo.

Kuelekea mchezo huo AFisa habari msaidizi wa Yanga Godlisten Anderson amefunguka kuhusu mchezaji Thaban Kamusoko kuwa atakosekana katika mchezo kati ya Yanga na Simba Jumamosi.

App kwaajili ya Wakubwa 18 + Wakubwa Wanafaidi

Kwa siku za karibuni kabla ya kuumia nyama za Paja Kamusoko alionekana kuaminika na Mwalimu Zahera Mwinyi tangu aliopewa nafasi kama Sub kwenye mchezo dhidi ya Biashara United kombe la Shirikisho.

Anderson msomaji wa Kwataunit.co.ke alisema tatizo la kuchanika nyama za Paja haliwezi kuwa kimepatiwa ufumbuzi kwa siku mbili au tatu hivyo Kamusoko hatakuwa katika mchezo huo wa Jumamosi.

Kamusoko alianza katika kikosi cha Kwanza dhidi ya Coastal Union na Kisha kuanza tena katika kikosi cha Kwanza dhidi ya Singida United kabla ya kuukosa mchezo dhidi ya JKT Tanzania baada ya Kuchanika nyama za Paja.

Install App bora ya Michezo – Michezo Plus App

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY