Yondani kugoma kumpa Mkono Ajib afunguka ishu iko hivi

Yondani kugoma kumpa Mkono Ajib afunguka ishu iko hivi

0

Yondani kugoma kumpa Mkono Ajib ishu iko hivi

Baada ya tukio la Yondani kuonekana kugoma kumpa Mkono mchezaji Ibrahim Ajibu wakati wa Kutambulishana kwa mgeni rasmi imekuwa gumzo mtandaoni.

Baada ya mchezo huo msomaji wa Kwataunit.co.ke Ibrahim Ajibu amezungumzia juu ya Tukio hilo ambalo Yondani alionekana kugoma Kumpa Mkono.

” nahisi wenzangu walinishangaa kuwatambulisha kwa kuwashika mkono. Mara nyingi huwa hatufanyi hivyo , si kaka yangu Yondani tu aliesita kunipa mkono pia Dante na wengine . Yondani alisita na kuniambia hii mpya … sina shida na kaka yetu huyu sisi ni wadogo zake na mengi tunajifunza kwake . Kikubwa tumecheza kwa ari na morari kubwa lakini mwisho wa siku mpira ni mchezo wa makosa . Tumefanya kosa moja wenzetu wamelitumia . Tunajipanga kwa mchezo ujao … Asante mashabiki wetu kutupa sapoti hata kwa wale wa Simba kumaliza mchezo kwa amani …” – Ibrahim Ajibu nahodha Yanga SC .

Install App bora ya Michezo – Michezo Plus App

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY