Zahera akabidhiwa Uchifu Singida

Zahera akabidhiwa Uchifu Singida

0

Zahera akabidhiwa Uchifu Singida

Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera jana alipewa heshima ya kipekee na Wazee wa mkoa wa Singida baada ya kutunukiwa Uchifu na Wanyaturu

Hafla hiyo ilifuatiwa na zoezi la uzinduzi wa Tawi kubwa la klabu ya Yanga Singida Mjini

Wakati akituzwa Cheo hicho na Wazee wa Kinyaturu, Zahera alivikwa mavazi maalum ambayo wazee hao wamesema yatampa ulinzi wakati akitimiza majukumu yake

“Adui hawezi kukuona, nakuvalisha ili unapofundisha hakuna mpinzani atakae kuona au kujua mbinu zako”

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY