Alichokisema Aussems baada ya kuifikisha Simba Robo Fainali CCL

Alichokisema Aussems baada ya kuifikisha Simba Robo Fainali CCL

0

Alichokisema Aussems baada ya kuifikisha Simba Robo Fainali CCL

HAKIKA wikiendi ya washabiki wengi wa Simba itaenda vizuri hasa baada ya Simba kufanikiwa kupata ushindi wa bao 2 kwa 1 na kufanikiwa kutinga hatua ya Robo Fainali CAF Champions League.

Unajua kocha mkuu wa Simba amesema nini baada ya kuifikisha Simba Hatua hiyo?

Aussems Amefunguka haya.

“Kwa Simba, kwa Tanzania na hata kwa Afrika Mashariki hili ni jambo kubwa, sasa tutazungumza kuhusu soka kwa Afrika Mashariki na asante kwa Simba. Lengo ilikuwa kufika hatua ya makundi na nilisema hili kundi lipo wazi … na hatutaishia robo fainali tutafanya kila jambo ili kusonga mbele”-

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY