Baada ya kufuzu Manara aja kwa Zahera na Ujumbe huu

Baada ya kufuzu Manara aja kwa Zahera na Ujumbe huu

0

Kabla ya mechi ya Simba na As Vita kulikuwa na maneno Ya kurushiana kutoka kwa Kocha wa Yanga Zahera Mwinyi na Afisa habari wa Simba Haji Manara.

Baada ya Simba kushinda huu ndiyo ujumbe wa Manara kwa Zahera.

Kwanza nianze na huyu Zahera,matusi yake kwangu nimeyasikia ila nimemsamehe,nnaloomba mwambieni Simba ni klabu kubwa sana na atuheshimu na asitafute sifa za kuwaongopea hao omba omba!! Iringa wamemkamwene na Wakata viuno wake tumewararua,
Next ni underdog

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY