Habari mpya kutoka Simba asubuhi ya Leo kuelekea Robo Fainali CAF

Habari mpya kutoka Simba asubuhi ya Leo kuelekea Robo Fainali CAF

0

Habari mpya kutoka Simba asubuhi ya Leo kuelekea Robo Fainali CAF

Kesho ndiyo kesho ambapo Simba itamfahamu mpinzani wake wa kucheza naye katika michuano ya Kimataifa, Michuano ya juu zaidi kwenye ngazi ya vilabu barani Afrika CAF Champions League hatua ya Robo Fainali.

Klabu ya Simba kupitia kwa mtendaji wake mkuu Crescentus Magori leo inaelekea nchini Misri kwaajili ya Droo ambayo itafanyika nchini Misri kwaajili ya kujua Simba itakutana na timu gani.

Simba itakutana na kati ya Wydad Casablanca ya Morocco , TP Mazembe ya Congo au ES Tunis ya Tunisia ambapo Simba itaanzia kwa kucheza Nyumbani na kisha mchezo wa marudiano kumalizia Ugenini.

Install App ya kijanja ya Michezo Bonyeza Hapa

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY