Habari mpya kutoka Yanga mchana wa leo 15 March 2019

Habari mpya kutoka Yanga mchana wa leo 15 March 2019

0

Habari mpya kutoka Yanga mchana wa leo 15 March 2019

Klabu ya Yanga kwasasa iko mkoani Iringa tayari kwa pambano lake dhidi ya Lipuli Fc hiyo kesho katika uwanja wa Samora Mjini Iringa.

Kuelekea pambano hilo meneja wa Yanga ameelezea kuwa kikosi kimefanya mazoezi katika uwanja wa Samora na wachezaji wako vizuri na wako tayari kwaajili ya mchezo wa kesho.

Taarifa ya kikosi, mara baada ya mazoezi ya leo asubuhi kwenye uwanja wa Samora hapa Iringa.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY