Kocha Ruvu : Waamuzi wametuonea leo

Kocha Ruvu : Waamuzi wametuonea leo

0

Kocha Ruvu : Waamuzi wametuonea leo

Kocha wa Ruvu Shooting Abdulmtik Hadji amelaumu kuhusiana na maamuzi ya leo kwenye mchezo kati ya Simba na Ruvu ulioisha kwa Simba kushinda kwa bao 2 kwa 0.

Abdulmutik Amefunguka kuwa maamuzi hayakuwa mazuri kwa upande wao kiasi cha kupelekea kufungwa na Simba.

Waamuzi wametuonea leo na hii ni kawaida yao linapokuja suala la mechi za Simba na Yanga, bodi ya ligi wanajua wao sisi hatuna lakusema tumekubali matokeo “ Abdulmtik Hadji Kiduhu kocha Ruvu Shooting baada ya kupigwa 2-0 na Simba leo,

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY