Matokeo Azam Fc vs Singida United leo

Matokeo Azam Fc vs Singida United leo

0

Matokeo Azam Fc vs Singida United leo

Dakika ya 15

Azam 0 – 0 Singida United

Dakika 30

Azam Fc 0 – 0 Singida United

HALF TIME

Azam 0 – 0 Singida Unite

KIPINDI CHA PILI

Dakika ya 60

Azam 0 – 0 Singida United

Goaaaaaaaaaal dakika ya 66 Ramadhan Singano Messi anaipatia Singida bao LA Kuongoza

Azam Fc 1 – 0 Singida United

Goaaaaaaaal Mahundi anaipatia Azam Fc bao la pili

Azam Fc 2 – 0 Singida United

Goaaaaaaaal dakika ya 77 Donald Ngoma anaipatia Azam Fc bao la tatu, Azam wanawakaaa

Azam Fc 3 – 0 Singida United

Dakika ya 85 Azam wanapata Penati baada ya Chirwa kuwekwa chini

Enock Attah anakosa penati baada ya Kipa Said Lubawa kuitema na kisha Chirwa kumalizia kwa kupiga Juu mpira Unapaa

Goaaaaaaal Donald Ngoma Anaipatia Azam Fc bao la 4

Azam Fc 4 – 0 Singida United

FULL TIME

Azam Fc 4 – 0 Singida United

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY