Matokeo Js Saoura vs Simba leo

Matokeo Js Saoura vs Simba leo

0

Mechi Imeanza

Js Saoura 0 – 0 Simba

Dakika ya 6 Js Saoura wanafanya shambulizi Aishi Manula anakuwa shujaa na kudaka mpira

Dakika ya 8 Js Saoura wanawakosa Simba mpira unakuwa kona

Dakika ya 11 Simba wanapata Kona

Dakika ya 12 Js Saoura wanapata Kona, Wanapiga Kona wanapata kona nyingine

Goaaaaaal dakika ya 18 Js Saoura wanapata Bao la Kuongoza Said Sharif anapiga shuti kali na kumuacha Manula akiwa hajui afanye nini

Js Saoura 1 – 0 Simba

Dakika ya 25

Js Saoura 1 – 0 Simba

Dakika ya 30

Js Saoura 1 – 0 Simba

HALF TIME

Js Saoura 1 – 0 Simba

kIPINDI CHA PILI

Js Saoura wameanza kwa kushambulia lango la Simba

Dakika ya 50 Js Saoura wanapata penati

Goaaaaaaal Js Saoura wanapata bao la pili

Dakika ya 70

Js Saoura 2 – 0 Simba

FULL TIME

Js Saoura 2 – 0 Simba

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY