Matokeo Mwadui vs Stand United leo 15 March 2019

Matokeo Mwadui vs Stand United leo 15 March 2019

0

Matokeo Mwadui vs Stand United leo 15 March 2019

Ligi kuu Tanzania bara huko katika mkoa wa SHinyanga kulikuwa na mchezo uliozikutanisha timu zote za mkao wa Shinyanga kati ya Mwadui Fc dhidi ya Stand United.

Mchezo huo umemalizika kwa Stand United kupata ushindi wa bao 2 kwa 1 wakicheza ugenini Mwadui Complex.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY