Matokeo Serengeti Boys vs Uturuki leo

Matokeo Serengeti Boys vs Uturuki leo

0

Matokeo Serengeti Boys vs Uturuki leo 8 March 2019

Mechi Imeanza

Serengeti BOYS 0 – 0 Uturuki

Dakika 10

Serengeti BOYS 0 – 0 Uturuki

Dakika ya 17 Serengeti Boys wanafanya shambulizi la maana langoni mwa Uturuki

Tufollow Instagram kwa habari zaidi Michezo

Dakika ya 21 Uturuki wanawakosa Tanzania kipa anatoa na kuwa Kona

Dakika ya 35

Serengeti BOYS 0 – 0 Uturuki

Goaaaaal Uturuki wanapata Bao baada ya walinzi wa Tanzania kushindwa kuondoa mpira katika hatari

Serengeti BOYS 0 – 1 Uturuki

Goaaaaal Tanzania wanafungwa tena bao la pili ndani ya dakika 3

Serengeti Boys 0 – 2 Uturuki

HALF TIME

Serengeti boys 0 – 2 Uturuki

Tufollow Instagram kwa habari za kila wakati BONYEZA HAPA

KIPINDI CHA PILI

Kipindi cha pili kimeanza

Serengeti Boys 0 – 2 Uturuki

Goaaaal dakika ya 53 Uturuki wanaandikisha bao la 3

Serengeti Boys 0 – 3 Uturuki

Goaaaaal dakika ya 84 Uturuki wanaopata bao la nne

Serengeti Boys 0 – 4 Uturuki

FULL TIME

Serengeti Boys 0 – 5 Uturuki

Tufollow Instagram kwa habari zaidi Michezo

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY