Matokeo Simba vs As Vita leo 16 March 2019

Matokeo Simba vs As Vita leo 16 March 2019

0

Matokeo Simba vs As Vita leo 16 March 2019

Mechi Imeanza

Simba 0 – 0 As Vita

Dakika ya 5

Simba 0 – 0 As Vita

Dakika ya 6 Walijaribu kuondoka As Vita lakini mlinzi Zana Coulibaly anasimama vyema na mpira unatoka , Goal kick

Goaaaaaal dakika ya 12 As Vita wanapata bao kupitia kwa Kazadi

Simba 0 – 1 As Vita

Dakika ya 20

Simba 0 – 1 As Vita

Dakika ya 25 James Kotei anapewa kadi ya njano

Dakika ya 27 Clatous Chama anajaribu kuingia na kupiga mpira unaenda nje ya lango

Goaaaaaaaaaaaaaaal Mohammed Hussein anaisawazishia Simba

Simba 1 – 1 As Vita

Washabiki sasa wameamka upya baada ya Simba kuchomoa Goli na wachezaji wanaonekana kurudi vyema kwenye viwango vyao.

Dakika ya 39 As Vita wanapata mpira wa Set Piece , Inapigwa lakini

HALF TIME

Simba 1 – 1 As Vita

KIPINDI CHA PILI

Kipindi cha pili kimeanza

Dakika ya 46 Makusu anajaribu shuti linapaa juu

Dakika ya 48 Makusu Aliingia vizuri langoni mwa Simba anapiga Krosi Manula anaidaka

Dakika ya 54 Meddie Kagere anakosa bao la wazi kabisa akiwa yeye na nyavu

Dakika ya 58 Haruna Niyonzima anaingia kuchukua nafasi ya Okwi

Baada ya Okwi Kuingia Simba inaonekana kuchangamka vilivyo

Dakika 70

Simba 1 – 1 As Vita

Simba wameishika game na kwasasa As Vita wanaonekana kuzidiwa, Kona kuelekea As Vita lakini kipa Nelson Lukong anaucheza

Dakika ya 80

Simba 1 – 1 As Vita

GoaaaaaaaaaaaL Clatous Chama anaipatia Simba bao la Pili

Simba 2 – 1 As vITA

FULL TIME

Simba 2 – 1 As Vita

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY