Matokeo TPL Lipuli vs Yanga leo

Matokeo TPL Lipuli vs Yanga leo

0

Matokeo TPL Lipuli vs Yanga leo

Mechi Imeanza

Dakika ya 10

Lipuli Fc 0 – 0 Yanga

Mechi Imeanza kwa kasi huku timu zote zikicheza zaidi katikati ya uwanja

Dakika ya 14 Deus Kaseke anamtoka Paul Ngalema lakini mpira anaompigia Ngassa unashindwa kutengeneza bao, Ilikuwa nafasi nzuri kwa Yanga

Dakika ya 17 Yanga wanafanya shambulizi jingine lakini tayari wanaambiwa Offside

Goaaaaaaaaaal Haruna Shamte anaipatia Lipuli Fc bao la Kuongoza

Lipuli Fc 1 – 0 Yanga

Dakika ya 22 Yanga wanafanya Shambulizi langoni mwa Lipuli wanakosa bao ,Ilikuwa nafasi nzuri ya kusawazisha

Willium Lucian anapewa kadi ya njano baada ya kumchezea faulo Gadiel Michael

Dakika ya 27 Yanga wanapata kona lakini kabla ya hapo Yanga wanalalama kunyimwa penati baada ya mchezaji wa Lipuli kuudaka mpira

Dakika ya 28 Yanga wanakosa bao shuti la Feisal Salum linashindwa kukaa vizuri mguuni

Dakika ya 34 Saliboko anatoka anaingia Steven Mganga

Dakika ya 35 Feisal Salum anapewa kadi ya njano baada ya kuanzisha mpira kabla ya kuruhusiwa

Lipuli 1 – 0 Yanga

Dakika ya 43 Steven Sylivester anajaribu shuti kali langoni mwa Yanga mpira unaenda nje

HALF TIME

Lipuli 1 – 0 Yanga

Follow Account yetu ya Instagram

KIPINDI CHA PILI

Kipindi cha pili kinaendelea, Ungana nasi

Dakika ya 50

Lipuli 1 – 0 Yanga

Mpira umesimama baada ya kutoa purukushani za wachezaji, Zawadi Mauya anapewa kadi ya njano

Wakati huo Amis Tambwe anaingia nafasi ya Kamusoko

Dakika ya 57 Kaseke anakosa bao la wazi akiwa yeye na Kipa

Dakika ya 60 Yanga wanafanya shambulio jingine lakini wanashindwa kupata bao

Kikosi cha Simba dhidi ya As Vita leo 16 March 2019

Dakika ya 64 Deus Kaseke anapewa kadi ya njano

Dakika ya 69 Lipuli Fc wanapata kona wanashindwa kuitumia

Dakika ya 80

Lipuli Fc 1 – 0 Yanga

Dakika ya 81 anaingia Jaffary Mohammed

Dakika ya 85 Haruna Moshi anaingia kuchukua nafasi ya Gadiel

DAKIKA 7 za Nyongeza

FULL TIME

Lipuli 1 – 0 Yanga

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY