Post ya Haji Manara baada ya ushindi wa leo

Post ya Haji Manara baada ya ushindi wa leo

0

Post ya Haji Manara baada ya ushindi wa leo

Mara baada ya ushindi wa wa Simba wa bao 2 kwa 0 dhidi ya Ruvu Shooting huu ndiyo ujumbe aliouandika Haji Manara Afisa habari wa Simba.

Hivi hii sasa sifa,yaani atoke Misri mnatafuna,atoke Kwenye miputuluu mnakula,akitoka Kwenye michura mnalamba!!
Basi hata maafande hamuwaogopi?
Shukran Wanasimba na Asante Mungu 🙏!!
Viporo vya usiku havipashwi moto 
#masaubwire

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY