Ratiba ligi kuu TPL leo 15 March 2019

Ratiba ligi kuu TPL leo 15 March 2019

0

Ratiba ligi kuu TPL leo 15 March 2019

Ligi kuu Tanzania bara Itaendelea leo kwa mechi 3 kuchezwa katika viwanja vya miji mbalimbali nchini Tanzania.

Katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya Tanzania Prisons itakuwa nyumbani uwanja wa Sokoine kucheza na JKT Tanzania kutoka jijini Dar Es Salaam.

Nako mkoani Shinyanga leo kutakuwa na Shinyanga Darby mechi ya kukata na Mundu kati Ya Mwadui Fc watakaokuwa wenyeji wa Stand United mechi ikichezwa Mwadui Complex uwanja unaopatikana huko wilayani Kishapu.

Azam Fc wao watakuwa na kazi ya kuonyeshana mida ya saa moja usiku na vijana wa Mwigulu Nchemba Singida United mechi ikichezwa katika uwanja wa Azam (Azam Complex)

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY