Timu moja yajitoa Ligi daraja la Kwanza

Timu moja yajitoa Ligi daraja la Kwanza

0

Timu moja yajitoa Ligi daraja la Kwanza

Timu ya Arusha United ya Mkoani Arusha rasmi imejitoa katika michuano ya ligi daraja la kwanza Tanzania bara.

Arusha United wameeleza kuwa sababu kuu ni kutokana na vitendo vya kihuni ambavyo vimekuwa vikitokea na kufanyiwa kwenye ligi hiyo huku wahusika wakiwa hawachukui hatua stahiki.

Kujitoa kwa Arusha United kutafanya kufutwa kwa alama zote, Hivyo basi ni faida kwa timu zilizofungwa na Arusha United na hasara kwa timu zilizoshinda dhidi ya Arusha United.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY