Ujumbe wa Mohammed Tshabalala baada ya Simba kupenya

Ujumbe wa Mohammed Tshabalala baada ya Simba kupenya

0

Ujumbe wa Mohammed Tshabalala baada ya Simba kupenya

Katika vitu ambavyo unaweza kusema viliwarudisha Simba mchezoni baada ya kufungwa bao la mapema hakika goli la Mohammed Tshabalala liliwarudisha Simba na kuwafanya kuamini kuwa wanaweza kushinda.

Baada tu ya Bao hilo Morali ya wachezaji ilirejea na kuwafanya wacheze kwa kujiamini zaidi na shughuli ikaisha zaidi baada ya kiungo fundi wa Kinyarwanda kuingia Haruna Niyonzima ambaye alibadilisha zaidi mchezo kutokana na vitu na pasi zake nyingi kuwa na madhara.

Baada ya mchezo huo huu ndiyo ujumbe wa kwanza wa Mohammed Hussein Zimbwe Jr.

Ni Historia Mpya kwa Mohamed Hussein Mohamed, Wanasimba, Familia yangu Na Watanzania Wote Kwa Ujumla📌 #ASANTEMUNGU

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY