Ukweli wa Shaban Chilunda kusaini Simba Huu hapa

Ukweli wa Shaban Chilunda kusaini Simba Huu hapa

0

Ukweli wa Shaban Chilunda kusaini Simba Huu hapa

Jana kwenye mitandao ya kijamii hususani Facebook na Instagram kulikuwa na Taarifa nyingi na moja ya picha zikisambaa na caption zikionyesha kuwa ni Shaban Iddi Chilunda akiwa na uzi wa Simba huku akisaini.

Taarifa hizo zilizua maswali mengi ikiwemo ni kweli CHILUNDA kaamua kuachana na Teneriffe na kujiunga na Simba? lakini kumbe ukweli si Shaban Chilunda yule aliyeonekana akisaini.

pichani aliyeonekana akisain ni kinda Elia Nyondo aliyepandishwa kikosi cha wakubwa simba sc msimu wa 2018 kutoka simba B ambapo walipandishwa pamoja na Rashid Juma/Abdul Hamis na golikipa Ally Salim

Hivyo basi hakuna ukweli wa Shaban Chilunda kwenda Simba na kama ipo basi si kwa picha inayoendelea kusambaa kwenye mitandao ya kijamii.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY