Yanga : Mmoja aliyeenda Iringa arejea Dar Haraka

Yanga : Mmoja aliyeenda Iringa arejea Dar Haraka

0

Yanga : Mmoja aliyeenda Iringa arejea Dar Haraka

Kikosi cha Yanga tayari kipo mkoani Iringa tayari kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu Tanzania bara TPL.

Kuelekea mchezo huo klabu ya Yanga imetoa taarifa ya daktari wao mkuu Edward Bavu kurejea jijini Dar Es Salaam baada ya kufiwa na baba yake mzazi.

Dr Edward Bavu tayari ameondoka Iringa kurejea Dar kuwahi taratibu za mazishi, Taarifa zaidi itatolewa punde andelea kufuatulia …

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY