Yanga washasahau ya Lipuli mipango na Hii

Yanga washasahau ya Lipuli mipango na Hii

0

Yanga washasahau ya Lipuli mipango na Hii

Klabu ya Yanga baada ya kupoteza mbele ya Lipuli kwa bao 1 kwa 0 mchezo wa ligi kuu soka ya Tanzania bara mjini Iringa kupitia page zao za Instagram wameonyesha kusahau hayo.

Yanga wakitumia ukurasa wao wa Instagram wameandika ujumbe kuwa leo asubuhi wanarejea jijini Dar Es Salaam tayari kwa maandalizi ya mchezo wa Azam Sports Federation dhidi ya Alliance Fc ya Mwanza mchezo utakaochezwa Jijini Mwanza.

Install app ya Kijanja ya Michezo Hapa

Mchezo umemalizika kwa Lipuli fc kupata ushindi wa goli 1-0. 
Aksante wa sapoti, kikosi chetu kitaondoka Iringa kesho asubuhi kurejea Dar, tayari kwa matayarisho ya mchezo wa ASFC dhidi ya Alliance fc utakaochezwa jijini Mwanza.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY