Dismas Ten : Simba mlichezewa vya kutosha

Dismas Ten : Simba mlichezewa vya kutosha

0

Dismas Ten : Simba mlichezewa vya kutosha

Afisa habari wa Timu ya Yanga ameendelea na utani wake kwa Simba mara baada ya jana kupoteza kwa Kagera Sugar bao 2 kwa 1.

Mapema aliandika ujumbe huu akiwataka Simba waende wakaanike magodoro.

Nendeni mkaanike magodoro yenu.. shubaakengemit zenu…! Hiyo ndo Bukoba ‘katerero’ ilipozaliwa 😂😂😂 Bamia fc, Vikojozi fc ….! Mitano Company Limited 😂😂😂 Bebwabebwa fc..! Ukiwaona popote waite VIKOJOZI FC..!

Baadae alipost picha ambayo inaonyesha statistics za mwisho wa mechi hiyo ambapo Kagera Aliongoza kwa Umiliki wa Mpira “Ball Possession ” na kisha akaandika Ujumbe huu hapo chini.

VIKOJOZI FC…! Huo mstari wa mwisho maana yake ni kwamba ‘mlichezewa’ vya kutosha katoeni mashuka..! 😂😂

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY