Habari mpya kutoka Simba asubuhi 21 April 2019

Habari mpya kutoka Simba asubuhi 21 April 2019

0

Habari mpya kutoka Simba asubuhi 21 April 2019

Baada ya kupoteza pambano la jana dhidi ya Kagera leo asubuhi kikosi cha Simba kinaondoka Bukoba kuelekea jijini Mwanza ambapo watakuwa na mchezo dhidi ya Alliance.

Kupitia ukurasa wao wa Instagram Simba wameandika ujumbe huu hapo chini.

Kikosi kinaondoka muda huu mkoani Kagera kwenda Mwanza ambako kitacheza mechi mbili za Ligi Kuu. 

NO COMMENTS