Habari mpya kutoka Simba asubuhi leo 17 April 2019

Habari mpya kutoka Simba asubuhi leo 17 April 2019

0

Habari mpya kutoka Simba asubuhi leo 17 April 2019

Kikos cha Simba leo kitashuka uwanja wa Mkwakwani Kucheza dhidi ya Coastal Union ya Tanga mchezo wa ligi kuu soka ya Tanzania Bara TPL.

Kupitia ukurasa wao wa Instagram wa Simba wameandika kuwa wachezaji wapo tayari kwa kazi ya kuwapa Furaha wanaSimba.

Makamanda wapo tayari kwa kazi ya kuwapa furaha Wanasimba. Tukutane Uwanja wa Mkwakwani leo saa 8:00 mchana

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY