Habari mpya kutoka Simba asubuhi leo

Habari mpya kutoka Simba asubuhi leo

0

Habari mpya kutoka Simba asubuhi leo

Baada ya kupata alama tatu muhimu wakicheza kwenye uwanja wa Mkwakwani Mkoani Tanga kikosi cha Simba leo kinatarajiwa kutua mkoani Kagera katika mji wa Bukoba.

Simba asubuhi ya leo inaondoka kwa usafiri wa ndege kuelekea Bukoba kwaajili ya mechi ya ligi kuu Tanzania bara dhidi ya Kagera Sugar mchezo utakaochezwa Jumamosi.

Simba inaondoka bila baadhi ya nyota wake ambao wameachwa kutokana na matatizo mbalimbali kama Pascal wawa ambaye bado anajiuguza majeraha yake.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY