Habari mpya kutoka Simba leo 15 April 2019

Habari mpya kutoka Simba leo 15 April 2019

0

Habari mpya kutoka Simba leo 15 April 2019

Klabu ya Simba baada ya kuwasili juzi usiku ikitokea mjini Lubumbashi nchini DR Congo leo asubuhi kikosi cha timu hiyo kinasafiri kuelekea mjini Tanga.

Kikosi cha Simba kinaelekea jijini Tanga kwaajili ya kuwavaa Coastal Union ya jijini Humo.

Mchezo kati ya Coastal Union dhidi ya Simba utachezwa siku ya Jumatano 17 April 2019 katika uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.Install App bora ya Michezo habari zikufikie papo kwa hapo zinapotoka Bonyeza Hapa

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY