Habari mpya kutoka Simba leo 26 April 2019

Habari mpya kutoka Simba leo 26 April 2019

0

Habari mpya kutoka Simba leo 26 April 2019

Kutoka katika kurasa za Mitandao ya Kijamii ya Simba leo wamejulisha uma kuwa kikosi cha Simba kinaondoka Mwanza kuelekea Musoma mabapo watacheza na Biashara United.

Kikosi leo asubuhi kinaondoka jijini Mwanza kwenda Mara ambako kesho Jumamosi kitacheza mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Biashara FC.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY