Habari mpya kutoka Simba leo usiku 21 April 2019

Habari mpya kutoka Simba leo usiku 21 April 2019

0

Habari mpya kutoka Simba leo usiku 21 April 2019

Klabu ya Simba leo asubuhi iliondoka mkoani Kagera katika makao makuu ya mkoa Huo Bukoba kuelekea Mwanza kwaajili ya mchezo dhidi ya Alliance utakaochezwa jumanne uwanja wa CCM Kirumba.

Kupitia ukurasa wao wa Twitter na Instagram Simba wameujulisha uma kuwa kikosi kimefanya mazoezi katika uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza.

Kikosi leo jioni kimeanza mazoezi kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu dhidi Alliance ambao tutacheza Jumanne Aprili 23, 2019

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY