Habari mpya kutoka Simba usiku wa leo 19 April 2019

Habari mpya kutoka Simba usiku wa leo 19 April 2019

0

Habari mpya kutoka Simba usiku wa leo 19 April 2019

Leo asubuhi kikosi cha Simba kilisafiri kutoka Dar Es Salaam mpaka mjini Bukoba kwa usafiri wa ndege kwaajili ya mchezo wa ligi kuu soka ya Tanzania bara TPL.

Baada ya kuwasili salama kikosi cha Simba leo kimefanya mazoezi katika uwanja utakaotumika kwenye mchezo wa kesho uwanja wa Kaitaba,

Kupitia ukurasa wao wa Twitter na Instagram Simba wameandika Ujumbe Huu hapa.

Kikosi leo kimefanya mazoezi ya mwisho kwenye Uwanja wa Kaitaba kabla ya mchezo kesho wa Ligi Kuu ambao tutakipiga na Kagera Sugar. Mechi itaanza saa 10:00 jioni

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY