Habari mpya kutoka yanga usiku wa leo 22 April 2019

Habari mpya kutoka yanga usiku wa leo 22 April 2019

0

Habari mpya kutoka yanga usiku wa leo 22 April 2019

Kutoka katika kurasa za mitandao ya kijamii ya Yanga wamekanusha Taarifa zinazoelezea kuwa kamati maalum ya kuichangia Yanga imefikisha shilingi bilioni 2 na kupata mdhamini.

Kupitia ukurasa wao wa Instagram Yanga wameandika Ujumbe Huu.

TAHADHARI..! Kumekua na Taarifa mbalimbali katika mitandao ya kijamii zikiwanukuu wajumbe na hata Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa juu ya michango inayoendelea, kiufupi mpaka Sasa Kamati haijawai kukaa na waandishi ama mwandishi yeyote kutoa tathmini ya michango inayoendelea,
hivyo Basi zipuuzieni Taarifa ambazo zinasema Kamati imefanikiwa kupata bilioni 2 na kupata wawekezaji,
Ifahamike kua Kazi ya Kamati ni kuratibu na kutafuta fedha kwa ajiri ya Yanga na sio kutafuta wawekezaji Kama ambavyo imekua ikinukuliwa na baadhi ya vyombo vya Habari ,sisi kwetu Kamati mwekezaji ni mwanayanga na mwananchi mwenye ndio Maana kauli mbiu yetu katika kuchochea michango ni kua Yanga ni timu ya wananchi na wawekezaji ni wananchi mwenyewe.
Tunathamini michango ya wanayanga kuanzia wanaochanga kiasi kidogo mpaka kikubwa. Mpaka Sasa hatujatoa tathmini ya zoezi tunaloendea nalo ,hivyo epukeni uzushi unaofanywa ama kwa makusudi ili kukwamisha juhudi za wanayanga kuchanga ama kwa bahati mbaya .

View this post on Instagram

TAHADHARI..! Kumekua na Taarifa mbalimbali katika mitandao ya kijamii zikiwanukuu wajumbe na hata Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa juu ya michango inayoendelea, kiufupi mpaka Sasa Kamati haijawai kukaa na waandishi ama mwandishi yeyote kutoa tathmini ya michango inayoendelea, hivyo Basi zipuuzieni Taarifa ambazo zinasema Kamati imefanikiwa kupata bilioni 2 na kupata wawekezaji, Ifahamike kua Kazi ya Kamati ni kuratibu na kutafuta fedha kwa ajiri ya Yanga na sio kutafuta wawekezaji Kama ambavyo imekua ikinukuliwa na baadhi ya vyombo vya Habari ,sisi kwetu Kamati mwekezaji ni mwanayanga na mwananchi mwenye ndio Maana kauli mbiu yetu katika kuchochea michango ni kua Yanga ni timu ya wananchi na wawekezaji ni wananchi mwenyewe. Tunathamini michango ya wanayanga kuanzia wanaochanga kiasi kidogo mpaka kikubwa. Mpaka Sasa hatujatoa tathmini ya zoezi tunaloendea nalo ,hivyo epukeni uzushi unaofanywa ama kwa makusudi ili kukwamisha juhudi za wanayanga kuchanga ama kwa bahati mbaya .

A post shared by Young Africans SC (@yangasc) on

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY