Hizi ndizo timu 4 zilizofuzu Nusu Fainali AFCON U-17

Hizi ndizo timu 4 zilizofuzu Nusu Fainali AFCON U-17

0

Hizi ndizo timu 4 zilizofuzu Nusu Fainali AFCON U-17

Michuano ya AFCON U-17 inaendelea nchini Tanzania na leo hatua ya makundi imekamilika vyema ambapo timu nne zilizotinga nusu Fainali zimejulikana na ndizo zitakazowakilisha Afrika katika michuano ya Kombe la dunia kwa vijana hao nchini Brazil.

Nchi zilizofuzu ni

Nigeria

Angola

Cameron

Guineaa

Katika hatua ya Nusu Fainali Nigeria atacheza na Guinea wakati Cameron wao watakipiga na Angola.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY