Kagere usimchezee!! Hii hapa idadi ya magoli yake yote akiwa Simba

Kagere usimchezee!! Hii hapa idadi ya magoli yake yote akiwa Simba

0

Kagere usimchezee!! Hii hapa idadi ya magoli yake yote akiwa Simba

Ukiambiwa Meddie Kagere ni Straika Hatari usibishe, kwasababu Takwimu ndizo zinazoongea.

Meddie KAGERE amekuwa moja ya Mastraika hatari nchini na kwenye kila mashindano ambayo Simba imeshiriki msimu huu amefanikiwa kufunga goli kiasi cha kuwa moja ya straika hatari.

Toka amejiunga na Simba Meddie Kagere amefanikiwa kufunga jumla ya mabao 29.

Katika mabao hayo 29 Meddie Kagere amefunga jumla ya mabao 16 ligi kuu soka ya Tanzania bara TPL. Amefunga mabao 6 kwenye mashindano makubwa zaidi ya vilabu barani Afrika CAF Champions League.

Amefunga mabao manne kwenye michuano ya Kagame Cup, Huku akifunga jumla ya mabao 2 katika michuano ya Mapinduzi Cup na bao moja kwenye Ngao ya Hisani.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY