Kikosi cha Simba dhidi ya Kagera Sugar leo

Kikosi cha Simba dhidi ya Kagera Sugar leo

0

Kikosi cha Simba SC dhidi ya Kagera Sugar, mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara leo Jumamosi ya April 20,2019, saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa Kaitaba, Bukoba.

1:Aishi Manula
2:Zana Coulibaly
3:Mohamed Hussein (C)
4:Paul Bukaba
5:Erasto Nyoni
6:James Kotei
7:Haruna Niyonzima
8:Jonas Mkude
9:Meddie Kagere
10:Emmanuel Okwi
11:Clatous Chama

Wachezaji wa akiba
1:Deogratius Munishi
2:Yusuph Mlipili
3:Mzamiru Yassin
4:Hassan Dilunga
5:Rashid Juma
6:Adam Salamba
7:John Bocco

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY