Mabadiliko ya Muda mechi ya Kagera Vs Simba leo

Mabadiliko ya Muda mechi ya Kagera Vs Simba leo

0

Mabadiliko ya Muda mechi ya Kagera Vs Simba leo

Leo kuna mechi namba 152 ya Ligi kuu pendwa na kubwa zaidi nchini Tanzania bara kati ya Kagera Sugar wanankuruntumbi dhidi ya Mnyama anayetisha pengine kuliko wote mbungani klabu ya Simba.

Kuelekea mchezo huo msomaji wa Kwataunit.co.ke bodi ya ligi imefanya mabadiliko ya muda wa mechi kuanza imesogeza mbele saa 2 kutoka saa nane mchana muda uliopangwa awali kwenda saa kumi kamili licha ya kuwa na mchezo wa Serengeti Boys dhidi ya Angola muda huohuo mmoja.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY