Mabadiliko ya Muda wa mchezo Mtibwa vs Yanga 17 April 2019

Mabadiliko ya Muda wa mchezo Mtibwa vs Yanga 17 April 2019

0

Mabadiliko ya Muda wa mchezo Mtibwa vs Yanga 17 April 2019

Kikosi cha Yanga kesho kitakuwa dimbani uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro kucheza na Mtibwa Sugar ya mjini Morogoro Mtibwa wakiwa wenyeji wa mchezo huo.

Kuelekea mchezo huo muda umesogezwa nyuma kidogo tofauti na ule muda wa awali wa saa kumi kamili alasiri.

kwasasa mechi hiyo Itachezwa saa nane mchana huku moja ya sababu ambazo zimeelezwa ni kupisha muda wa mechi ya Serengeti Boys ambao watakuwa wakicheza dhidi ya Uganda.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY