Manara aamka na dongo kwa Zahera

Manara aamka na dongo kwa Zahera

0

Manara aamka na dongo kwa Zahera

Afisa habari wa klabu ya Simba leo asubuhi ameamka na dongo kwa kocha wa Yanga baada ya kupost video ya kocha wa Simba akiongea baada ya kichapo kutoka kwa Kagera Sugar huku kocha Aussems akiwapongeza Kagera Sugar kwa ushindi.

Baada ya kupost video akaandika ujumbe wa Kumponda Zahera.

Tofauti ya kocha wa mpira na kocha wa Sunsumia au kibao kata!!
Unafungwa unawapongeza washindi na kukubali mapungufu yako,angekuwa yy sasa!!
Waamuzi wanatuonea ,mm nimefundisha Ulaya miaka Arobaini, ( ukigoogle huoni timu alizofundisha zaidi ya kufundisha Kucheza Ndombolo na Mayenu ) ohh Simba inabebwa,Leo sikushinda kisa Ajibu na Fei Toto hawakuvaa boksa na hawajala toka juzi!!
Hahahahaha ila akishinda sasa,Najua kupiga gitaa kuliko Diblo,na ile fasi ya Putuluu imekuja na ndege na ndio maana cc Wacongo tunapendwa na wadada wa bongo 😅😅
Kocha mzuri huzungumzia vtu technical na sio Riwaya za chooni au za kutoka kwa mahawara wako wanaotumia mkorogo wa buku buku!!!

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY