Manara afunguka njia ya kumnyamazisha Zahera

Manara afunguka njia ya kumnyamazisha Zahera

0

Manara afunguka njia ya kumnyamazisha Zahera

Kocha Mkuu wa timu ya Yanga Zahera Mwinyi amekuwa kwenye vita ya maneno na msemaji wa Simba Haji Manara hasa kutokana na watu hao wote kuwa wanatetea maslahi ya timu zao.

Basi baada ya ushindi wa Simba mbele ya Alliance Afisa habari wa Simba Haji Manara amefunguka kuwa dawa pekee ya kumfanya Zahera kukaa kimya ni kushinda tu kama walivyoshinda jana dhidi ya Alliance.

Ujumbe wa Manara.

Njia nyepesi ya kumfanya Bana Congo asitoe povu Simba ikishinda kama ilivyokuwa jana,ni kumzungushia Maua jirani yake kama unavyoshuhidia hapo juu!!
Na issue ni flowers no matter wat!!
Asumini au Rose na hata Mkalatusi,ili mradi hayo maua yawe yanachanua ,ukiyaweka karibu yake ( team roho mbaya) unaufunga mdomo wake kama ilivyotokea baada ya game na Alliance pale kirumba,
Very simple!!

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY