Manula amkuna Makonda, sasa asubiri Zawadi,Mwenyewe Afunguka

Manula amkuna Makonda, sasa asubiri Zawadi,Mwenyewe Afunguka

0

Manula amkuna Makonda, sasa asubiri Zawadi,Mwenyewe Afunguka

Leo Simba imepoteza mchezo wake wa Hatua ya robo fainali dhidi ya TP Mazembe kwa kufungwa mabao 4 kwa 1.

Lakini licha ya kupoteza mchezo huo kipa Aishi Manula alionekana wazi kuokoa michomo mingi ambayo huenda ingeweza kuwapa Mazembe mabao mengi.

Kutokana na uwezo aliouonyesha Manula Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam Paul makonda amemuahidi zawadi Aishi Manula atakapotua Dar kutoka Congo huku akiahidi kwenda kuwapokea Simba.

Najua matokeo ya leo yatatupa tabu sana mtaani ila wewe umekuwa nyota wangu ukifika tu DSM njoo uchukue zawadi yako. Watani zangu Naomba mjuwe hatua tuliyofikia ni kubwa sana na hakika Simba inastahiri kupongezwa na Usku nitakuwepo Airpot kuwapokea Makamanda na wapambanaji wetu Simba @hajismanara

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY