Matokeo AFCON U-17 Angola vs Uganda

Matokeo AFCON U-17 Angola vs Uganda

0

Matokeo AFCON U-17 Angola vs Uganda

Mechi ya PILI ya siku kati ya Angola na Uganda michuano ya AFCON U 17 imemaliza usiku huu kwa Angola Kuibuka na Ushindi.

Angola wamefanikiwa kuiadhibu Uganda bao 1 kwa 0 katika mchezo uliochezwa uwanja wa Taifa JIJINI Dar Es Salaam.

Bao hilo limefungwa dakika ya 31 na Pedro Capemba na kudumu mpaka dakika tisini za Mchezo zinamalizika.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY