Matokeo Alliance vs Simba leo

Matokeo Alliance vs Simba leo

0

Matokeo Alliance vs Simba leo

mechi imeanza

Alliance 0 – 0 Simba

Mechi Imeanza kwa kasi kubwa zikipigwa pasi rula kwa timu zote

Dakika 5

Alliance Fc 0 – 0 Simba

Dakika ya 6 Simba wanawakosa bao Alliance ilikuwa hatari sana langoni mwa Alliance mabeki wanaokoa

Dakika 15

Alliance Fc 0 – 0 Simba

Goaaaaaal Haruna Niyonzima anaipatia Simba bao la kwanza

Alliance 0 – 1 Simba

Dakika 30

Alliance 0 – 1 Simba

HALF TIME

Alliance Fc 0 – 1 Simba

SUB: Mabadiliko upande wa Simba, anatoka Hassan Dilunga anaingia Clatous Chama.

60′: Alliance FC 0-1 Simba SC.

SUB: Emmanuel Okwi anachukua nafasi ya Adam Salamba.

70′: Alliance FC 0-1 Simba SC.

Goaaaaaaaaal OKWI anafunga bao la pili

SUB: Meddie Kagere anachukua nafasi ya John Bocco upande wa Simba. 85′: Alliance FC 0-2 Simba SC.

FULL TIME

ALLIANCE 0 – 2 SIMBA ( NIYONZIMA, OKWI)

INSTALL APP BORA YA MICHEZO HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY