Matokeo Coastal Union vs Simba leo

Matokeo Coastal Union vs Simba leo

0

Matokeo Coastal Union vs Simba leo 17 April 2019

Matokeo Coastal Union dhidi ya Simba Sc leo 17 April 2019 moja kwa moja kutoka uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga

Mechi Imeanza

Coastal wanatangulia kwa bao 1

Coastal 1 – 0 Simba

Dakika ya 5

Coastal Union 1 – 0 Simba

Dakika 15

Coastal Union 1 – 0 Simba

Dakika 20 zimekatika katika uwanja wa Mkwakwani Mkoani Tanga matokeo yakiwa bado Coastal 1 na Simba 0

Dakika 30

Coastal 1 – 0 Simba

Dakika 40

Coastal union 1 – 0 Simba

Dakika ya 45 Simba wanafanya shambulizi hatari shuti la Mzamiru Yassin linapita nje kidogo ya Lango

HALF TIME

Coastal Union 1 – 0 Simba

KIPINDI CHA PILI

Anaingia Clatous Chama kuchukua nafasi ya Mzamiru Yassin

Goaaaaal dakika ya 48 Meddie Kagere anasawazisha goli

Coastal Union 1 – 1 Simba

Dakika ya 55

Coastal Union 1 – 1 Simba

Dakika 60

Coastal Union 1 – 1 Simba

Goaaaaaal dakika ya 68 Meddie Kagere anafunga bao la pili

Dakika ya 75

Coastal Union 1 – 2 Simba

Dakika ya 85

Coastal Union 1 – 2 Simba

FULL TIME

Coastal Union 1 – 2 Simba

Install App ya Kijanja ya Mchezo Hapa

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY